

Darius's email address and phone number have been validated.
Darius
- Rate $20
- Response 1h

$20/h
1st lesson free
- Swahili
Kiswahili kilichorahisishwa kutoka kwa mwalimu mzawa. (Swahili made easy from a native tutor) Gharama nafuu (affordable price)
- Swahili
Lesson location
About Darius
Habari! Mimi ni mzawa wa Tanzania na mwalimu wa Kiswahili mwenye shauku ya kukufundisha lugha halisi inayozungumzwa mitaani, si ile ya vitabuni tu.
Kupitia masomo yangu, utajifunza msamiati wa kila siku, matamshi sahihi, na utamaduni wa Afrika Mashariki.
Nina uzoefu wa kufundisha wanafunzi wa viwango tofauti — kuanzia wanaoanza hadi wale wanaotaka kufikia ufasaha wa hali ya juu.
Njoo tujifunze pamoja kwa njia ya kufurahisha na yenye matokeo.
About the lesson
- All Levels
- English
- Russian
All languages in which the lesson is available :
English
Russian
Rafiki yako wa Tanzania
Ninakufundisha Lugha Wanayozungumza Wazawa Halisi
Maelekezo Yanayoeleweka
Mtindo wa maisha
Utamaduni |Afrika Mashariki
Ninafundisha Kiswahili kwa njia rahisi kupitia hadithi nzuri na za kusisimua bila kuchosha mwili wala akili. Tutazungumza kuhusu Utamaduni wa watu wa Afrika Mashariki na kupitia hadithi hizo utaweza kujifunza lugha kama vile mtoto mdogo anavyojifunza lugha yake ya kuzaliwa.
Maalumu kwa ambao ni wageni kwenye lugha hii adhimu ya Kiswahili kuanzia 0 mpaka kuwa mahili wa lugha.
Karibuuu sanaa
Rates
Rate
- $20
Pack rates
- 5h: $100
- 10h: $200
free lessons
This first lesson offered with Darius will allow you to get to know each other and clearly specify your needs for your next lessons.
- 30mins
online
- $20/h
Other tutors in Swahili
Shaha
Roseville & online
- $12/h
- 1st lesson free
Michael
Roseville & online
- $10/h
- 1st lesson free
Luca
Roseville & online
- $10/h
- 1st lesson free
Mary
Oklahoma City & online
- $20/h
- 1st lesson free
Ashley
Los Angeles & online
- $20/h
- 1st lesson free
Mustafa
Washington & online
- $20/h
- 1st lesson free
Gladys
Girard & online
- $18/h
- 1st lesson free
Samson Arita
Dearing & online
- $15/h
- 1st lesson free
Prosper
Paris & online
- $18/h
- 1st lesson free
Elise
San Francisco & online
- $25/h
- 1st lesson free
Collins
Brooklyn & online
- $15/h
- 1st lesson free
Abdalla
Los Angeles & online
- $14/h
- 1st lesson free
Emmah
New York
- $20/h
- 1st lesson free
Javan
Texas City & online
- $18/h
- 1st lesson free
Peninnah
New York & online
- $18/h
- 1st lesson free
Zawadi
San Diego & online
- $30/h
- 1st lesson free
Susan
Washington & online
- $21/h
- 1st lesson free
Ellie
Spokane & online
- $30/h
- 1st lesson free
Ziggo
Dearing
- $20/h
- 1st lesson free
Winny
Reno & online
- $20/h
- 1st lesson free
-
See Swahili tutors
